Monday, February 11, 2013

QUICK ROCKA KUACHIA NGOMA MPYA NA AKIWA NA NGWAIR HIVI KARIBUNI

Katika kile kinachoonekana #ChampagneBoyz wont stop at nothing this time... Quick Rocka a.k.a Kizzy one of the fastest rappers in TZ anataraji kuachia mdundo wake mwingine hivi karibuni. Track hiyo inayofahamika kama MY BABY, Quick amemshirikisha rapper mwingine, like ni mkali wa freestyle in Bongo... Based in East Zoo [Dodoma] I'be speaking about Ngwair... Now you get it on #ChampagneBoyz on this 1...
 Quick Rocka anaefanya vizuri redioni kwa sasa na ngoma yake ya KATIKA ameongea na GongaMx na kusema, zigo lipo kwenye final touches likiwa produced na Maneck kutoka AM Records na kwamba fans wakae tayari kuisikia ngoma hiyo hivi karibuni akisimama na Cowwizzy!!!
Keep speaking to Quick, aliongeza kuwa track hiyo pia ipo katika process ya matengenezo ya video ambayo pia itafuata baada ya audio. Shooting ya MY BABY itaanza hivi karibuni ikiwa chini ya Director Nick Dizzo kutoka E-Media.

Let's Go Champagne Boyz!!!


Habari kutoka_GongaMx News Team.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...