Thursday, January 24, 2013

TUNATAMBULISHA KWENU UJIO WA MIXTAPE MPYA KUTOKA KAZAWAZA PRODUCTION-MIROPOKO VOLUME ONE

Kazawaza production inatambulisha kwenu ujio wa mixtape yake mpya kwenye mitaa inayokwenda kwa jina la MIROPOKO hii ikiwa ni volume 1 ikiwa na track takriban 17.Mkiwa km wapenzi wa hiphop mnatakiwa kuchingia sh 3000 tu ili kuipata hii mixtape.Kwa yeyote ambae atahitaji apige namba  0718160548 au kwenye facebook search Straton Mo Panish kwa details zaidi na jinc unavyoweza kujipatia nakala yako ya mixtape hii.

Wednesday, January 23, 2013

UTARATIBU WA JINSI YA KUNUNUA NYIMBO MPYA YA ONE INCREDIBLE-RAP SCIENCE

One incredible ni msanii mwingine tena kutoka lebo ya muziki wa hiphop nchini tanzani ya Tamadunimuzik ambae amefata nyayo za wasanii wenzake wengine wawili Nash Mc na Songa kwa kuuza ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Rap Science na kufanya idadi ya wasanii ambao washaanza kutumia utaratibu huo kutoka Tamadunimuzik kufikia watatu.Ili kupata nyimbo hiyo unachotakiwa kufanya ni kutuma sh 2000 kwenda namba+255 712 684 993. Tigopesa na kisha utume email yako.

HUU NDIO UTARATIBU RASMI WA JINSI AMBAVYO UNAWEZA KUNUNUA NYIMBO MPYA YA SONGA-HERO

Songa ni msanii mwingine kutoka Tamadunimuzik Label ambae ili kupata nyimbo yake mpya unatakia kuchangia sh 1000.Ili kupata nyimbo hiyo unatakiwa kutuma pesa hiyo kwenda namba 0652507085, 0655707315 au 0756837683 iwe Tigo pesa au M-pesa,pia unatuma email yako ili uweze kutumiwa nyimbo hiyo.

HIVI NDIVYO JINSI AMBAVYO UNAWEZA KUNUNUA NYIMBO YA NASH MC-B.B.M (BETI BORA MILELE)

Nash Mc ni moja kati ya wasanii kutoka tamadunimuzik lebel ambae ameanza rasmi utaratibu wa kuuza nyimbo zake moja moja na kwa kuanza ameanza na nyimbo inayoitwa BBM ikiwa ni kifupi cha maneno BETI BORA MILELE.Wewe kama shabiki wa kweli wa Nash Mc na hiphop kwa ujumla unachotakiwa kufanya ni kumuunga mkono msanii huyo kwa kutuma sh 1000 kwenda moja kati ya namba hizi ,0713 900 994,0769 522 346!! UTATUMIWA KWA WHATS APP AU BARUA PEPE),Pia msanii huyo ametangaza rasmi kua sasa hivi unaweza kununua nyimbo yoyote kati ya nyimbo zake zote alizokua nazo na utartibu ni huo huo kama ilivyoelezwa hapo juu.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...