HABARI ILIYOTUFIKIA HIVI PUNDE  INAELEZA KUWA,ALIYEKUWA MTANGAZAJI WA ITV/RADIO ONE MIAKA YA NYUMA NA  BAADAE KUHAMIA KWENYE SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA UINGEREZA (BBC),BW. JOHN  NGAYOMA AMEFARIKI DUNIA MAPEMA LEO ASUBUHI.
HAYATI  NGAHYOMA AMBAYE AMEFIKWA NA MAUTI LEO AKIWA HOSPITALI AMBAKO ALIKUWA  AKIPATIWA MATIBABU YA MARADHI YALIYOKUWA YAKIMSUMBUA KWA MUDA MREFU  AMBAPO ALIENDA MPAKA NCHINI INDIA KWA MATIBABU YA MARADHI YAKE HAYO BILA  MAFANIKIO.
Friday, December 30, 2011
Mpiganaji John Ngahyoma afariki dunia
Posted by
Feel At Home
at
Friday, December 30, 2011
 Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
 
 Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
 











 
 
 
 
