Friday, June 17, 2011

RATIBA LIGI KUU WINGEREZA

Opening weekend - Saturday, 13 August
Blackburn v Wolves
Fulham v Aston Villa
Liverpool v Sunderland
Manchester City v Swansea
Newcastle v Arsenal
QPR v Bolton
Stoke v Chelsea
Tottenham v Everton
West Bromwich Albion v Manchester United
Wigan v Norwich
Saturday, 20 August
Arsenal v Liverpool
Aston Villa v Blackburn
Bolton v Manchester City
Chelsea v West Bromwich Albion
Everton v QPR
Manchester United v Tottenham
Norwich v Stoke
Sunderland v Newcastle
Swansea v Wigan
Wolves v Fulham
Saturday, 27 August
Aston Villa v Wolves
Blackburn v Everton
Chelsea v Norwich
Liverpool v Bolton
Manchester United v Arsenal
Newcastle v Fulham
Swansea v Sunderland
Tottenham v Manchester City
West Bromwich Albion v Stoke
Wigan v QPR


Kwa msaada wa ;BBC Sport-Premier league fixtures

AJALI! AJALI!

Mida ya asubuhi katika barabara ya Bagamoyo kulitokae ajali iliyohusisha Gari ya abiria aina ya ISUZU na TAXI. Mashuhuda wa ajali hiyo walieleza kuwa chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva wa pikipiki alimaalufu kama bodaboda na dereva wa bajaji. Dereva wa TAXI  aliwaishwa hospitali kwa matibabu zaidi.


Thursday, June 16, 2011

SERIKALI YATOA TAMKO JUU YA KUWASAIDIA WATOTO WA MITAANI

Leo tarehe 16/6/2011 ni siku ya mtoto wa Afrika na kauli mbiu ni "Kwa pamoja tunaweza kulitafutia suluhu tatizo la watoto wanaorandaranda"



Zawahiri sasa ni mkuu wa Al-Qaeda

Ayman al-Zawahiri, ambaye kwa muda mrefu mno amekuwa msaidizi wa Osama Bin Laden katika kuiongoza Al-Qaeda, na akishikilia nafasi ya pili katika kutoa amri, sasa ataliongoza kundi hilo.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa katika wavuti ya kundi hilo.

Bin Laden aliuawa nchini Pakistan alipopigwa risasi na kikosi maalum kutoka nchini Marekani mwezi Mei.

Kundi la Al-Qaeda limeonya kwamba litaendelea na vita vyake dhidi ya Marekani na Israel chini ya uongozi wa Zawahiri.

Wadadisi wa masuala ya Al-Qaeda wanaelezea kwamba Zawahiri, mwenye umri wa miaka 59, na aliyezaliwa nchini Misri, ni mtu mwerevu sana, lakini hana uwezo wa kuwavutia wafuasi wengi kama alivyofanya Osama.

Baadhi ya wadadisi wanasema yeye ndiye aliyepanga na kuendesha shughuli nyingi zilizohusiana na shambulio la Marekani la 9/11.

Kwa muda wa miaka mingi, msaidizi wa Bin Laden, ambaye atakayefanikiwa kumpata atapokea dola milioni 25 (pauni milioni 15), alitazamiwa kurithi madaraka hayo.

Taarifa iliyotangaza madaraka hayo ilichapishwa katika wavuti ya Al-Qaeda, na kusemekana imetolewa na uongozi wa juu unaotoa amri katika kundi hilo.

"Sheikh Dk Ayman al-Awahiri, Mungu amsaidie, katika kuendelea na uongozi wa kundi", taarifa ilielezea.

Taarifa ilielezea kwamba chini ya Zawahiri, itaendelea na vita vitakatifu vya Jihad dhid ya Marekani na Israel, "hadi majeshi yote ya wavamizi yanaondoka kutoka ardhi ya Waislamu".

Sunday, June 12, 2011

SIMBA YAITAFUNA DC MOTEMA PEMBE

 DC MOTEMA PEMBE - 0





SIMBA SC - 1
Mussa Hassani Mgosi dk.7

Baada ya mechi kusubiliwa kwa muda mrefu atimaye muda ukafika, kwenye nyasi za Uwanja mpya wa Taifa jijini Dar es salaam kati ya wenyeji Simba ya Tanzania au Wekundu wa Msimbazi dhidi ya DC Motema Pembe ya Congo. Alikuwa Mussa Hassan Mgosi aliyepeleka kilio kwa  Wakongo hao wakati huohuo wakati mchezo ukiendelea Aruna Shamte alionyeshwa kadi nyejundu kutokana  na rafu aliyomchezea mchezaji wa Dc Motema Pembe, goli lake la dakika ya 7 ya kipindi cha kwanza ilitosha kuipa ushindi Simba katika kombe hilo la shirikisho.

BAADA YA KUTOKA JASHO LA MUDA MREFU SASA NI WAKATI WA KULA BATA KWA WACHEZAJI WA TIMU ZA ULAYA


Michael Barack kiungo wa Bayern LevekuUjerumani katika beach ya Miami


 Diego Forlan kiungo wa Atletico Madrid ya Hispania na mchumba wake Ziara Nara katika Beach ya Miami.


 Jermaine Jenas wa Totenham ya Wingereza akiwa na mchumba wake Ellie Penford katika kitanda cha kuotea jua. Marbella ,Hispania.


 Steven Gerald kiungo wa timu ya Liverpool ya Wingereza.

 Ricardo Kaka na mkewe Caroline wakiwa wameshikana mikono kwa upendo.



 Kipa wa Manchester ya Wingereza, Van de ser akipewa busu zito na mkewe.




 Mshambuliaji wa timu ya Liverpool Michael Carol, Baba yake na ndugu yake wakiwa mapumzikoni



 Cesc Fabregas wa Arsenal ya Wingereza akiwa na mchumba wa katika baadhi ya sehemu muzikoni



 Cristian Ronaldo wa Real Madrid ya Hispani akiwa na mchumba wake Irina wakifurahia jambo.


 Kipa wa timu ya Atletico Madrid ya Hispania, Degea na mchumba wake Edurneambaye pia ni muimbaji.

 Dimitar Barbatov wa Manchester



 Patrice Evra wa Manchester ya Wingereza na mchumba wake.


 Mchezaji wa zamani wa timu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Luis Figo



 Thienry Henry mshambuliaji wa Chicago Red Bulls ya Marekani


 John Terry wa Chelsea ya Wingereza na mkewe Toni.




 
 Shaun Wright Philips na Wyne Bridge wote wa Manchester City.



 Zlatan Ibrahimovic wa AC Milan akiwatoka kwenye bwawa la kuogelea
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...