Sunday, June 12, 2011

SIMBA YAITAFUNA DC MOTEMA PEMBE

 DC MOTEMA PEMBE - 0

SIMBA SC - 1
Mussa Hassani Mgosi dk.7

Baada ya mechi kusubiliwa kwa muda mrefu atimaye muda ukafika, kwenye nyasi za Uwanja mpya wa Taifa jijini Dar es salaam kati ya wenyeji Simba ya Tanzania au Wekundu wa Msimbazi dhidi ya DC Motema Pembe ya Congo. Alikuwa Mussa Hassan Mgosi aliyepeleka kilio kwa  Wakongo hao wakati huohuo wakati mchezo ukiendelea Aruna Shamte alionyeshwa kadi nyejundu kutokana  na rafu aliyomchezea mchezaji wa Dc Motema Pembe, goli lake la dakika ya 7 ya kipindi cha kwanza ilitosha kuipa ushindi Simba katika kombe hilo la shirikisho.

0 comments:

Post a Comment

CHANGIA MAWAZO YAKO HAPA

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...