Sunday, June 12, 2011

BAADA YA KUTOKA JASHO LA MUDA MREFU SASA NI WAKATI WA KULA BATA KWA WACHEZAJI WA TIMU ZA ULAYA


Michael Barack kiungo wa Bayern LevekuUjerumani katika beach ya Miami


 Diego Forlan kiungo wa Atletico Madrid ya Hispania na mchumba wake Ziara Nara katika Beach ya Miami.


 Jermaine Jenas wa Totenham ya Wingereza akiwa na mchumba wake Ellie Penford katika kitanda cha kuotea jua. Marbella ,Hispania.


 Steven Gerald kiungo wa timu ya Liverpool ya Wingereza.

 Ricardo Kaka na mkewe Caroline wakiwa wameshikana mikono kwa upendo. Kipa wa Manchester ya Wingereza, Van de ser akipewa busu zito na mkewe.
 Mshambuliaji wa timu ya Liverpool Michael Carol, Baba yake na ndugu yake wakiwa mapumzikoni Cesc Fabregas wa Arsenal ya Wingereza akiwa na mchumba wa katika baadhi ya sehemu muzikoni Cristian Ronaldo wa Real Madrid ya Hispani akiwa na mchumba wake Irina wakifurahia jambo.


 Kipa wa timu ya Atletico Madrid ya Hispania, Degea na mchumba wake Edurneambaye pia ni muimbaji.

 Dimitar Barbatov wa Manchester Patrice Evra wa Manchester ya Wingereza na mchumba wake.


 Mchezaji wa zamani wa timu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Luis Figo Thienry Henry mshambuliaji wa Chicago Red Bulls ya Marekani


 John Terry wa Chelsea ya Wingereza na mkewe Toni.
 
 Shaun Wright Philips na Wyne Bridge wote wa Manchester City. Zlatan Ibrahimovic wa AC Milan akiwatoka kwenye bwawa la kuogelea

0 comments:

Post a Comment

CHANGIA MAWAZO YAKO HAPA

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...