Tuesday, November 19, 2013

Sunday, November 17, 2013

BREAKING NEWS: WAFANYA BIASHARA KARIAKOO WAGOMA KUFUNGUA MADUKA KWA SABABU YA MASHINE ZA TRA

Wafanyabishara ambao wanamiliki maduka maeneo yote ya kariakoo leo asubuhi wameweka mgomo wa pamoja wakutofungua maduka yao wakipinga uamuzi wa TRA kutaka kila duka kuwa na mashine.

Mitaa yote ya Kariakoo, Msimbazi, Uhuru, Lumumba, Aggrey, Mchikichi, Narung'ombe, Tandamti, Congo, kote maduka yamefungwa baada ya kutangaziwa na umoja wa wafanyabiasha.

Wafanyabishara wanapinga bei kubwa ya mashine ambayo ni milioni moja mpaka laki nane

MATUKIO KADHAA KATIKA BIRTHDAY PARTY YA MTU WANGU WA NGUVU NA BLOGGER MWENZANGU KANOGA MATONDO A.K.A KANOSYTOWN
















 Kanoshytown na Dani Msimamo


 Nikiwa na mtu wangu wa nguvu na business partner
Usisahau kutembelea www.kanoshytown.blogspot.com
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...