Friday, May 6, 2011

Al-Qaeda wameahidi kulipiza kisasi kutokana na kifo cha bin Laden

Al-qaeda wamethibitisha kifo cha kiongozi wao,Osama bin Laden,na kusema kupitia kwenye mtandao kua wataendelea kuzishambulia nchi za magharibi.

Walisema'it would not deviate from the path of armed struggle and that bin Laden's blood "is more precious to us and to every Muslim than to be wasted in vain".

Haikufahamika ni nchi gani kauli hiyo ilirekodiwa.Pia kundi hilo liliongeza kua hivi karibuni wataachia mkanda wenye sauti ya bin Laden iliyorekodiwa wiki moja kabla ya kuuawa na makomando wa marekani jumatatu iliyopita.

Tawi la Al-Qaeda a,balo lipo yemen lilithibitisha kutokea kwa kifo cha bin Laden baada ya siku nne mara tu walipamaliza kuwasiliana na wenzao waliopo Pakistan.

Msemaji wa Al-Qaeda alisema "tuliposikia hii habari tulishtuka sana"                                        

"This news has been a catastrophe for us. At first we did not believe it, but we got in touch with our brothers in Pakistan who have confirmed it," Alisema msemaji huyo wa Al-Qaeda.

Monday, May 2, 2011

Osama binladen ameuawa huko pakistan

Rais barack obama akiwaelezea wananchi wa marekani na dunia kwa ujumla juu ya kifo cha osama biladen
Rais wa marekani amethibitisha kifo cha kiongozi huyo wa al-qaeda akisema ameuawa kutokana na operation iliyofanywa na marekani huko pakistan.Obama alisema"Tonight, I can report to the people of the United States and the world, the United States had carried an operation that has killed Osama Bin Laden, a terrorist responsible for killing thousands of innocent people,"
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...