Wednesday, June 8, 2011

BARCELONA BINGWA UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2011-2012

Baadhi ya picha zikionyesha matukio ya yaliyotokea siku ya mechi ya fainali ya ligi ya mabingwa ulaya kati ya Barceona na Manchester utd,Barcelona ilifanikiwa kuipa kipigo cha bao 3-1 Mancherster united kwenye ardhi yao ya Uingereza katika uwanja wa Wembley


 Kocha wa Mancherster Sir Alex Ferguson akitoa mkono kwa baadhi ya wageni rasm, akifuatiwa na Wyne Rooney akitoa mkono kwa Rais wa shirikisho la mpira ulaya bwana Michel Platin.

 Wachezaji wa timu ya Barcelona wakishangilia ubingwa walioutwaa katika mechi ya fainali dhidi ya Mancherster katika uwanja wa wembley. Barcelona walishinda 3-1.

 Wyne Rooney akishuka jukwaan baada ya kusalimiana na wageni rasmi 

 Messi akiwapita wachezaji wa Mancherster kushoto ni Michael Carric na kulia ni Nimanj Vidic

Kocha wa Barcelona Pep Guadiola akibusu kombe.
 Mchezaji wa Barcelona Lionel Messi akijaribu kumtoka mchezaji Fabio nyuma ni Valencia

.Kocha wa Barcelona koshoto Pep Guadiola akisalimiana na kocha wa Mancherster kulia Sir Alex Ferguson
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...