Wednesday, January 23, 2013

HIVI NDIVYO JINSI AMBAVYO UNAWEZA KUNUNUA NYIMBO YA NASH MC-B.B.M (BETI BORA MILELE)

Nash Mc ni moja kati ya wasanii kutoka tamadunimuzik lebel ambae ameanza rasmi utaratibu wa kuuza nyimbo zake moja moja na kwa kuanza ameanza na nyimbo inayoitwa BBM ikiwa ni kifupi cha maneno BETI BORA MILELE.Wewe kama shabiki wa kweli wa Nash Mc na hiphop kwa ujumla unachotakiwa kufanya ni kumuunga mkono msanii huyo kwa kutuma sh 1000 kwenda moja kati ya namba hizi ,0713 900 994,0769 522 346!! UTATUMIWA KWA WHATS APP AU BARUA PEPE),Pia msanii huyo ametangaza rasmi kua sasa hivi unaweza kununua nyimbo yoyote kati ya nyimbo zake zote alizokua nazo na utartibu ni huo huo kama ilivyoelezwa hapo juu.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...