Wednesday, January 23, 2013

UTARATIBU WA JINSI YA KUNUNUA NYIMBO MPYA YA ONE INCREDIBLE-RAP SCIENCE

One incredible ni msanii mwingine tena kutoka lebo ya muziki wa hiphop nchini tanzani ya Tamadunimuzik ambae amefata nyayo za wasanii wenzake wengine wawili Nash Mc na Songa kwa kuuza ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Rap Science na kufanya idadi ya wasanii ambao washaanza kutumia utaratibu huo kutoka Tamadunimuzik kufikia watatu.Ili kupata nyimbo hiyo unachotakiwa kufanya ni kutuma sh 2000 kwenda namba+255 712 684 993. Tigopesa na kisha utume email yako.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...