Kwa mara nyingine tena tigo inakuletea huduma mpya ijulikanayo kama tigo time ambayo inamuwezesha mteja wa tigo kupiga simu kwa gharama nafuu zaidi ndani na nje ya nchi,hii ni huduma ya kudumu na si promosheni.Jinsi ya kujiunga unapiga *149*90# OK.Hizi hapa ni baadhi yapicha ya tukio zima la kuzindua huduma hiyo lilofanyika katika ufukwe wa coco beach jana jumapili
 Zawadi mbali mbali zilitolewa
 Baadhi ya up coming artists walipata nafasi pia
 Wawakilishi wa tigo wakikabidhi zawadi
Wazee wa acrobatic pia walikuepo
 Ray kutoka prime time promotion
 Shazi lilikua la kutosha
 Mwanadada Rachel on stage
 THT dancers
 Wanaume TMK
 Madee
 TIPTOP CONNECTION
Tunda Man
 Sir Nature
 Babylon Beezy Mr Blue
Wanaume Halisi
 Kirikuu akiwakilisha Wanaume Halisi
Enika
 Roma ndo alifunga show

 
 









 
 
 
 
