Katika mahojiano Waliyofanya Wiz Khalifa na Ambe Rose walifunguka juu ya mipango yao kuhusu Amber Rose kujifungulia nyumbani huku Wiz Khalifa akimsaidia kujifungua akiwa Dakatari. Wiz Khalifa na Amber kupitia The Big Boy Radio show walisema watafanya kila kitu nyumbani atajifungulia hapo, wako nyumbani na wataalamu ambao wanawafundisha kila kitu, siku ambayo ndo itakua tayari kujfungua ni Dokta Wiz Khalifa ndo atakuwa wakwanza kumshika kumtoa mtoto wake.
Habari kutoka cloudsfm.co