Kazawaza production inatambulisha kwenu ujio wa mixtape yake mpya kwenye mitaa inayokwenda kwa jina la MIROPOKO hii ikiwa ni volume 1 ikiwa na track takriban 17.Mkiwa km wapenzi wa hiphop mnatakiwa kuchingia sh 3000 tu ili kuipata hii mixtape.Kwa yeyote ambae atahitaji apige namba 0718160548 au kwenye facebook search Straton Mo Panish kwa details zaidi na jinc unavyoweza kujipatia nakala yako ya mixtape hii.
Thursday, January 24, 2013
TUNATAMBULISHA KWENU UJIO WA MIXTAPE MPYA KUTOKA KAZAWAZA PRODUCTION-MIROPOKO VOLUME ONE
Posted by
Feel At Home
at
Thursday, January 24, 2013
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Wednesday, January 23, 2013
UTARATIBU WA JINSI YA KUNUNUA NYIMBO MPYA YA ONE INCREDIBLE-RAP SCIENCE
One incredible ni msanii mwingine tena kutoka lebo ya muziki wa hiphop nchini tanzani ya Tamadunimuzik ambae amefata nyayo za wasanii wenzake wengine wawili Nash Mc na Songa kwa kuuza ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Rap Science na kufanya idadi ya wasanii ambao washaanza kutumia utaratibu huo kutoka Tamadunimuzik kufikia watatu.Ili kupata nyimbo hiyo unachotakiwa kufanya ni kutuma sh 2000 kwenda namba+255 712 684 993. Tigopesa na kisha utume email yako.
Posted by
Feel At Home
at
Wednesday, January 23, 2013
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
HUU NDIO UTARATIBU RASMI WA JINSI AMBAVYO UNAWEZA KUNUNUA NYIMBO MPYA YA SONGA-HERO
Posted by
Feel At Home
at
Wednesday, January 23, 2013
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
HIVI NDIVYO JINSI AMBAVYO UNAWEZA KUNUNUA NYIMBO YA NASH MC-B.B.M (BETI BORA MILELE)
Nash Mc ni moja kati ya wasanii kutoka tamadunimuzik lebel ambae ameanza rasmi utaratibu wa kuuza nyimbo zake moja moja na kwa kuanza ameanza na nyimbo inayoitwa BBM ikiwa ni kifupi cha maneno BETI BORA MILELE.Wewe kama shabiki wa kweli wa Nash Mc na hiphop kwa ujumla unachotakiwa kufanya ni kumuunga mkono msanii huyo kwa kutuma sh 1000 kwenda moja kati ya namba hizi ,0713 900 994,0769 522 346!! UTATUMIWA KWA WHATS APP AU BARUA PEPE),Pia msanii huyo ametangaza rasmi kua sasa hivi unaweza kununua nyimbo yoyote kati ya nyimbo zake zote alizokua nazo na utartibu ni huo huo kama ilivyoelezwa hapo juu.
Posted by
Feel At Home
at
Wednesday, January 23, 2013
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook