Friday, July 22, 2011
Hatimae Langa kuachana kabisa na matumizi ya madawa yakulevya
Msanii mwenye heshima kubwa kwenye muziki wa Hip Hop Tanzania mtu mzima Langa ambae kwa muda mrefu alikua amejikita kwenye matumizi ya madawa ya kulevya (Unga) Leo hii ametimba ndani ya the people's station Clouds FM kwenye kipindi cha XXL akiwa ameweza kutambulisha ujio wake mpya kwenye game na pia kutoa tamko rasmi kua kwasasa amefanikiwa kujitoa kwenye matumizi ya madawa ambayo yalimtesa kwa muda wa miaka zaidi ya mitano na kueleza mipango yake ya kuanzisha rehab yake mwenyewe ambayo itaweza kusaidia vijana ambao wanapitia matatizo ambayo yeye ameyapitia na akaweza kujitoa....................................
Posted by
Feel At Home
at
Friday, July 22, 2011
0
comments
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook