Wednesday, July 13, 2011
ROSTAM AZIZ HAACHA UBUNGE WA IGUNGA-TABORA NA UJUMBE WA HALMASHAURI KUUYA TAIFA (CCM)
Mbunge wa Igunga mkoani Tabora kupitia ccm ameajiudhuru nafasi zote za kisiasa kubwa alizokuanazo mwazoni.Mbunge huyo wa ccm ameitisha mkutano leo jimboni kwake nakuanza kuwaelezea maamuzi mazito aliyokuwanayo,ata hivyo amesema uwamuzi wake autokani na kauli ya hivi kalibuni ya chama chake ya 'Kujivua gambamba' bali ni utashu wake binafsi na kuamua kuendelea na biashara zake.Ata hivyo amakua akiusishwa sana na ufisadi kwa kiasi kikubwa.
Posted by
Feel At Home
at
Wednesday, July 13, 2011
0
comments
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook