Thursday, June 13, 2013

BREKING NEWS: Msanii wa Hip Hop LANGA amefariki dunia...

Mwezi huu umekuwa mbaya sana kwa Bongo FLeva na Bongo Movie ikiwa ni muda mfupi tu tumempoteza Ngwea na Kashi wa Bongo Movie

Habari ambazo nimepata hivi punde ni kwamba Msanii aliyekuwa katika kundi la Wakilisha na wasanii kama Shaa pamoja na Witness ambao walishinda katika mashindano ya Pop "LANGA" Amefariki dunia


Msanii Huyo Amefariki Dunia Leo Jioni katika hospital ya Muhimbili.
Langa aliyekuwa anasumbuliwa na Malaria kali na kukimbizwa hospitali jana
Hili ni Pigo lingine kubwa katika Mziki wa wa Bongo Flava.
Mungu ailaze roho ya Marehemu Langa Mahali Pema peponi.

Wednesday, June 12, 2013

Download Hapa Nyimbo Mpya Ya Jaydee-YAHAYA


Sunday, June 9, 2013

Picha: Wananchi Warudisha Kadi za CCM, Lissu Azichoma Moto - Ifakara



Baada ya kutoa hotuba nzito na zenye kugusa matatizo ya wananchi, wananchi hao walirudisha kadi zao na kwa kuwa kadi hizo lissu hakuja nazo akazichoma moto.

Chanzo:Udakuspecially

Na hii ndio picha ya kava la kandamseto (mixtape) mpya ya Nash Mc


Nash Mc ameachia rasmi cover ya mxtape yake mpya inaypitwa CHIZI ambayo anatarajia kuiachia jumamosi ijayo,mixtape hiyo ambayo ina nyimbo takriban 15 itazinduliwa rasmi kwenye kilinge cha nadharia pale new msasani club

Unaweza pia kulipia mixtape hii kabla haijatoka ili ikitoka upewe nakala yako na utaratibu nii huu hapa kwenye picha hapa chini

BEHIND THE SCENE | Chris Brown ft Aaliyah-They Dont Know


Star TV na ITV kujitoa rasmi Startimes muda si mrefu!

Kutoka kwa mdau JamiiForum

Habari nilizozipata, mda mfupi ulio pita ni kuwa mwanasheria wa continental ametuma barua ya kuitaarifu startimes kujitoa kwa startv rasmi startimes, na mda simrefu Itv nao wanatuma rasmi barua kama hiyohiyo, huk startimes mashop yote ya dar ya startimes yameambiwa yawataarifu wateja kuhusu kutoka kwa hizo channel mbili.

NTAENDELEA KUWA UPDATE.....

Source mimi mwenyewe toka maeneo ya hapa bamaga startimes, nimepata habari hizi nikiwa ndani ya duka lao mda huu..wakijadiliana watafanyaje???

Huku ndiko alikokuwa Diamond wakati tuzo za Music za Kilimanjaro zilipokua zinatolewa jana

 Kitendo cha Msanii Diamond Platinumz kutokuepo kwenye tukio la utoaji wa tuzo za music za kilimanjaro jana usiku kilishangaza mashabiki wengi wa msanii huyo kwakua hakua amesafairi na kuwaacha na maswali mengi..........................

Habari za uhakika ni kwamba Diamond Platinumz Ambae kwa sasa ni balozi wa CocaCola nchini jana wakati tuzo zinatolewa alikua katika ukumbia wa Akemi uliopo Golden Jubilee Plaza kwenye uzinduzi wa kinywaji kipya cha kampuni ya CocaCola knachoitwa NOVIDA............

Diamond pamoja na mtu wake wa karibu Rommy Jonnes waliweka picha kadhaa kwenye mtandao kuonyesha ushiriki wao katika tukio hilo........Zicheki hapa baadhi ya picha hizo



 Kwenye gari wakiwa wanaelekea kwenye event










 Diamond na Master J

Baada ya event kuisha kwenye lift wakiondoka

Picha kadhaa zimetoka Thisisdiamond.com

Picha Kadhaa Za Mastaa Kwenye Tuzo Za Kilimanjaro Jana

Izzo Bizness na Quick Rocka
 Izzo Bizness
 Vaness Mdee akiwa na Tuzo ya wimbo bora wa Bongo Pop Aliofanya na Ommy Dimpoz
 Tuzo ya Mtayarishaji Chipukizi wa Mwaka-Mesen Selekta
 Kala Jeremiah Aliandika historia kwa kuchukua tuzo 3 mfululizo na Nyimbo yake ya Dear God.....Tuzo ya wimbo bora wa mwaka,Tuzo ya Mtunzi bora wa mashairi ya HipHop na tuzo ya Msanii bora wa HipHop


 God Zilla,Mabeste na Madee kwa pamoja waliperfom wimbo wa Mtazamo ulioimbwa na Slothang,Proffesor J na Afande Sele
Vanessa Mdee akiwa Haamini kua nyimbo aliyofanya na Ommy Dimpoz Imempa tuzo 2
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...