skip to main |
skip to sidebar
Sio kubwa kama Mlimani City ila ni nzuri na imepangiliwa.
Habari na millardayo.com
Baada ya Ant Ezekiel kuto kuonyesha heshima katika jukwaa la
serengeti fiesta sasa habari nyingine ambayo imetokea mkoani Morogoro
siku ya serengeti fiesta katika viwanja vya jamhuri.Msanii
anayejulikama kwa jina la Wema sepetu alionekana amefaa nguo fupi
ambayo sio ya heshima na hiki si kitu kizuri kwa mashabiki au hata
mtanzania.Kwani hapo ndipo unajishusha thamani pia hata mashabiki wako
hawata nunua kazi zako.Jamani tujiheshimu ili mwisho wa siku jina lako
lipate kufika mbali lakni kama ni hivi sijui kama tutafikia.
Habari na djfetty.blogspot.com