Tuesday, April 26, 2011
Tunawatakia watanzania wote sikukuu njema ya muungano
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni hazina kubwa ambayo tumeachiwa na waasisi wa nchi hizi mbili ambao ni hayati baba wa taifa Mwl.Julius Kambarage Nyerere na Marehem Sheikh Aman Abeid Karume.Sisi kama watanzania hatuna budi kuienzi na kuitunza hazina hii hadhimu tuliyonayo.Mwaka huu muungano umetimiza miaka 47 na Maadhimisho ya mwaka huu kitaifa yamefanyika Zanzibar.
1 comments:
muungano ni mzuri
Post a Comment
CHANGIA MAWAZO YAKO HAPA