Nash Mc ameachia rasmi cover ya mxtape yake mpya inaypitwa CHIZI ambayo anatarajia kuiachia jumamosi ijayo,mixtape hiyo ambayo ina nyimbo takriban 15 itazinduliwa rasmi kwenye kilinge cha nadharia pale new msasani club
Unaweza pia kulipia mixtape hii kabla haijatoka ili ikitoka upewe nakala yako na utaratibu nii huu hapa kwenye picha hapa chini