Star wa Miondoko ya Bongo Fleva Diamond Platinum (Msafi) hivi karibuni
inasemekana katika show zake mbili za Zanzibar na Zanzibar imedoda
kutokana na mahudhurio mabaya ya raia kwenye show hizo, kwa mujibu wa
chanzo chetu kinasema "AUDIENCE YA MWANZA JANA KWENYE SHOW YA DIAMOND
ILIKUWA CHA MTOTO………SHOW YA ZANZIBAR ILIFANYIKA TAREHE 22 BWAWANI-PEMBA
MA ILIHUDHURIWA NA WATU 50 TUUUUUUUUU-(Rows zilikuwa kama 10 hivi,rows 2
tu za mbele ndizo zilikuwa na watu jumla yake hao 50)……NA KIINGILIO
KILIKUWA SHILINGI ELFU 10 KAWAIDA NA VIP SHILINGI 15……….Nini Tatizo
hapo?? Mwanza na Zanzibar tukio linalofanana ukilinganisha na ukubwa wa
jina la muhusika….." Kilihoji chanzo hicho.
Au ndo yule Mganga ameanza kufanya yake? hahaha jokes ila pengine ni upepo umempitia vibaya kipindi hiki.
Habari kutoka hassbaby.blogspot.com