Na Shakoor Jongo
SIKU chache baada ya gazeti damu moja na hili, Risasi Jumamosi kutoka na habari iliyoambana na picha zilizopigwa katika chumba cha hoteli zikimwonesha mbunge wa jimbo moja nchini akijivinjari na dada mmoja wa mjini, aibu zaidi imemwangukia binti huyo baada ya picha zake za utupu kuvuja.

Mjasiriamali huyo wa mjini, katika habari hiyo jina lake lilifichwa lakini sasa tunalianika kwa jina moja la Sheila ambaye makazi yake ni Kinondoni jijini Dar.
Habari za moto zilizopatikana kutoka kwa vyanzo makini vya Ijumaa, vimepenyeza maelezo ya kutosha kuhusu ‘mjasiriamali’ huyo kuwa ni moto wa kuotea mbali kwa vigogo.
“Sheila ni mjanja sana, ana mawasiliano ya vigogo wengi ndiyo maana anawapata kirahisi lakini sasa sijui hii akili ya kijinga ya kupiga picha chafu anaipata wapi. Kwa mtu anayefikiri sawasawa hawezi kufanya upuuzi kama huu,” kilieleza chanzo chetu kwa sharti la kutoandikwa jina lake gazetini.
Folda lenye picha chafu za dada huyo zilizopigwa katika mikao ya kihasarahasara (haziwezi kuachwa wazi gazetini) zipo kwenye dawati letu kama ushahidi – anayetaka kuziona aje ofisini kwetu Global Publishers zilizopo Bamaga – Mwenge, Dar.
“Hizi picha sasa hivi zimezagaa sana mitandaoni, yaani anajiabisha sana. Sijui kwa nini wasichana wa siku hizi wanakuwa na tabia mbaya kiasi hicho,” kieleza chanzo chetu kikisisitiza kutoandikwa jina lake gazetini.
Chanzo ;Global Publisher