Wednesday, June 8, 2011

BARCELONA BINGWA UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2011-2012

Baadhi ya picha zikionyesha matukio ya yaliyotokea siku ya mechi ya fainali ya ligi ya mabingwa ulaya kati ya Barceona na Manchester utd,Barcelona ilifanikiwa kuipa kipigo cha bao 3-1 Mancherster united kwenye ardhi yao ya Uingereza katika uwanja wa Wembley


 Kocha wa Mancherster Sir Alex Ferguson akitoa mkono kwa baadhi ya wageni rasm, akifuatiwa na Wyne Rooney akitoa mkono kwa Rais wa shirikisho la mpira ulaya bwana Michel Platin.

 Wachezaji wa timu ya Barcelona wakishangilia ubingwa walioutwaa katika mechi ya fainali dhidi ya Mancherster katika uwanja wa wembley. Barcelona walishinda 3-1.

 Wyne Rooney akishuka jukwaan baada ya kusalimiana na wageni rasmi 

 Messi akiwapita wachezaji wa Mancherster kushoto ni Michael Carric na kulia ni Nimanj Vidic

Kocha wa Barcelona Pep Guadiola akibusu kombe.
 Mchezaji wa Barcelona Lionel Messi akijaribu kumtoka mchezaji Fabio nyuma ni Valencia

.Kocha wa Barcelona koshoto Pep Guadiola akisalimiana na kocha wa Mancherster kulia Sir Alex Ferguson

Friday, May 6, 2011

Al-Qaeda wameahidi kulipiza kisasi kutokana na kifo cha bin Laden

Al-qaeda wamethibitisha kifo cha kiongozi wao,Osama bin Laden,na kusema kupitia kwenye mtandao kua wataendelea kuzishambulia nchi za magharibi.

Walisema'it would not deviate from the path of armed struggle and that bin Laden's blood "is more precious to us and to every Muslim than to be wasted in vain".

Haikufahamika ni nchi gani kauli hiyo ilirekodiwa.Pia kundi hilo liliongeza kua hivi karibuni wataachia mkanda wenye sauti ya bin Laden iliyorekodiwa wiki moja kabla ya kuuawa na makomando wa marekani jumatatu iliyopita.

Tawi la Al-Qaeda a,balo lipo yemen lilithibitisha kutokea kwa kifo cha bin Laden baada ya siku nne mara tu walipamaliza kuwasiliana na wenzao waliopo Pakistan.

Msemaji wa Al-Qaeda alisema "tuliposikia hii habari tulishtuka sana"                                        

"This news has been a catastrophe for us. At first we did not believe it, but we got in touch with our brothers in Pakistan who have confirmed it," Alisema msemaji huyo wa Al-Qaeda.

Monday, May 2, 2011

Osama binladen ameuawa huko pakistan

Rais barack obama akiwaelezea wananchi wa marekani na dunia kwa ujumla juu ya kifo cha osama biladen
Rais wa marekani amethibitisha kifo cha kiongozi huyo wa al-qaeda akisema ameuawa kutokana na operation iliyofanywa na marekani huko pakistan.Obama alisema"Tonight, I can report to the people of the United States and the world, the United States had carried an operation that has killed Osama Bin Laden, a terrorist responsible for killing thousands of innocent people,"

Friday, April 29, 2011

HIVI NI KWANINI WAZUNGU HAWAWEZI KUTAMKA MAJINA YETU VIZURI WAKATI YAKWAO TUNATAMKA VIZURI?

Msikilize huyu jamaa akielezea anavyokerwa na hii tabia.

Tuesday, April 26, 2011

Tunawatakia watanzania wote sikukuu njema ya muungano

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni hazina kubwa ambayo tumeachiwa na waasisi wa nchi hizi mbili ambao ni hayati baba wa taifa Mwl.Julius Kambarage Nyerere na Marehem Sheikh Aman Abeid Karume.Sisi kama watanzania hatuna budi kuienzi na kuitunza hazina hii hadhimu tuliyonayo.Mwaka huu muungano umetimiza miaka 47 na Maadhimisho ya mwaka huu kitaifa yamefanyika Zanzibar.

Monday, April 25, 2011

HAPPY EASTER PEOPLE

U better celebrate peacefully(Ni vizuri kusheherekea kwa amani)
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...