Baadhi ya picha zikionyesha matukio ya yaliyotokea siku ya mechi ya fainali ya ligi ya mabingwa ulaya kati ya Barceona na Manchester utd,Barcelona ilifanikiwa kuipa kipigo cha bao 3-1 Mancherster united kwenye ardhi yao ya Uingereza katika uwanja wa Wembley
Wachezaji wa timu ya Barcelona wakishangilia ubingwa walioutwaa katika mechi ya fainali dhidi ya Mancherster katika uwanja wa wembley. Barcelona walishinda 3-1.
Wyne Rooney akishuka jukwaan baada ya kusalimiana na wageni rasmi
Messi akiwapita wachezaji wa Mancherster kushoto ni Michael Carric na kulia ni Nimanj Vidic
Kocha wa Barcelona Pep Guadiola akibusu kombe.
Mchezaji wa Barcelona Lionel Messi akijaribu kumtoka mchezaji Fabio nyuma ni Valencia
.Kocha wa Barcelona koshoto Pep Guadiola akisalimiana na kocha wa Mancherster kulia Sir Alex Ferguson
0 comments:
Post a Comment
CHANGIA MAWAZO YAKO HAPA