Chris brown na Rihanna ambao hivi karibuni walirudiana rasmi na kudhihirisha hilo walionekana wakiwa pamoja kwenye tuzo za muziki za grammy,ila muda mfupi baada ya kutoka kwenye tuzo hizo couples hap wawili walionekana si wenye furaha na baadae kila mmoja aliondoka kivyake kwenye ukumbi huo.Ila chanzo kinasema chriss alimfuma rihanna akiwa anamtumia meseji boyfriend wake wa zamani Drake kitu ambacho kilionekana kumkera sana chris brown ambae ana uhasama mkubwa sana na drake
Thursday, February 21, 2013
RIHANNA NA CHRIS BROWN WAMEGOMBANA TENA MARA HII CHANZO KIKIIWA NI RAPPER DRAKE
Chris brown na Rihanna ambao hivi karibuni walirudiana rasmi na kudhihirisha hilo walionekana wakiwa pamoja kwenye tuzo za muziki za grammy,ila muda mfupi baada ya kutoka kwenye tuzo hizo couples hap wawili walionekana si wenye furaha na baadae kila mmoja aliondoka kivyake kwenye ukumbi huo.Ila chanzo kinasema chriss alimfuma rihanna akiwa anamtumia meseji boyfriend wake wa zamani Drake kitu ambacho kilionekana kumkera sana chris brown ambae ana uhasama mkubwa sana na drake
Posted by
Feel At Home
at
Thursday, February 21, 2013
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook