Rapper
BIG Sean wa Good Music anatarajiwa Kuzindua Clothing Line Mpya Mwezi
Huu Itwayo Aura Gold. Rapper Huyo Kutoka Detroit anatoa Nguo hizo
Kupitia Aura Gold nazitaitwa "Finally Famous" Mjini Las Vegas Week Hii .Mpaka sasa report zinasema
"Finally Famous" Itakuwa na Nguo Kama T-shirts, Kofia ,Nguo Za Ndani,
Masweta na Makoti.Kwenye Jarida La Vide Toleo La February/March 2013
utaona baadhi ya Nguo hizo. Mwaka jana Big Sean alishirikiana na Adidas
na kutengeneza viatu vya Finally Famous na kwa sasa Fahamu kuwa Album
Mpya ya Big Sean Inatoka Mwaka Huu Na Mpaka sasa ametoa taarifa kuwa
itaitwa Hall Of Fame:Memoirs Of A Detroit Player.
Thursday, February 21, 2013
PICHA 3: LEBEL MPYA YA MAVAZI YA RAPPER BIG SEAN
Posted by
Feel At Home
at
Thursday, February 21, 2013
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook