Baada ya mechi kusubiliwa kwa muda mrefu atimaye muda ukafika, kwenye nyasi za Uwanja mpya wa Taifa jijini Dar es salaam kati ya wenyeji Simba ya Tanzania au Wekundu wa Msimbazi dhidi ya DC Motema Pembe ya Congo. Alikuwa Mussa Hassan Mgosi aliyepeleka kilio kwa Wakongo hao wakati huohuo wakati mchezo ukiendelea Aruna Shamte alionyeshwa kadi nyejundu kutokana na rafu aliyomchezea mchezaji wa Dc Motema Pembe, goli lake la dakika ya 7 ya kipindi cha kwanza ilitosha kuipa ushindi Simba katika kombe hilo la shirikisho.
Sunday, June 12, 2011
SIMBA YAITAFUNA DC MOTEMA PEMBE
DC MOTEMA PEMBE - 0
Mussa Hassani Mgosi dk.7

0 comments:
Post a Comment
CHANGIA MAWAZO YAKO HAPA