Mida ya asubuhi katika barabara ya Bagamoyo kulitokae ajali iliyohusisha Gari ya abiria aina ya ISUZU na TAXI. Mashuhuda wa ajali hiyo walieleza kuwa chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva wa pikipiki alimaalufu kama bodaboda na dereva wa bajaji. Dereva wa TAXI aliwaishwa hospitali kwa matibabu zaidi.
0 comments:
Post a Comment
CHANGIA MAWAZO YAKO HAPA