Monday, February 18, 2013

UTARATIBU WA JINSI UNAVYOWEZA KUNUNUA NYIMBO MPYA YA P THE MC

 P The Mc anatimiza idadi ya wasanii 4 kutoka TAMADUNIMUZIK lebo ambao wameamua kutumia njia ya kuuza nyimbo zao moja moja kama njia ya kuongeza kipato kupitia mziki wanaoufanya,wasanii wenzake ambao wameshawahi kutumia utaratibu huu ni Nash Mc,Songa, na One The Incredibl.Feel at home km kawaida yetu tunakupatia utaratibu rasmi wa jinsi ambavyo unaweza kujipatia nyimbo hii mpya ya P The Mc ambayo inaitwa P Mawenge.Utaratibu ni huu "Unatuma sh 1000 kwenda namba 0717254451 (TIGO PESA) NA (M PESA) NI 0758033291.Tuma namba yako au e mail km unatumia whats up.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...