Thursday, February 21, 2013

PICHA 3: LEBEL MPYA YA MAVAZI YA RAPPER BIG SEAN

Rapper BIG Sean wa Good Music anatarajiwa Kuzindua Clothing Line Mpya Mwezi Huu Itwayo Aura Gold. Rapper Huyo Kutoka Detroit anatoa Nguo hizo Kupitia Aura Gold nazitaitwa "Finally Famous" Mjini Las Vegas Week Hii .Mpaka sasa report zinasema "Finally Famous" Itakuwa na Nguo Kama T-shirts, Kofia ,Nguo Za Ndani, Masweta na Makoti.Kwenye Jarida La Vide Toleo La  February/March 2013 utaona baadhi ya Nguo hizo. Mwaka jana Big Sean alishirikiana na  Adidas na kutengeneza viatu vya Finally Famous na kwa sasa Fahamu kuwa Album Mpya ya Big Sean Inatoka Mwaka Huu Na Mpaka sasa ametoa taarifa kuwa itaitwa  Hall Of Fame:Memoirs Of A Detroit Player. 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...