Thursday, February 21, 2013

Q-Chief akimjibu Diamond, muziki wake mpya na show yake ijayo


Sijui wakati anajibu hayo maswali alikuwa kwenye hali gani, sijui alikuwa amekasirika, sijui alikuwa out of mood sijui alikuwa okay, lakini all in all najua kila mtu ana uhuru wa kuongea kile anachojisikia na hajawekea mipaka, as long as kinamsatisfy yeye na kinawafurahisha wengine kwenye umma - Q-Chief.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...