Monday, August 27, 2012

SHARO MILIONEA AVUTA MKOKO WA MILIONI 15


Katika kuthibitisha kua fani ya maigizi kibongo bongo inalipa,mkali kutoka 'bongo movie' ambae ameng'arisha nyota yake kupitia uchekeshaji Hassan Mkiety "Sharo Milionea" amevunja kibubu na kuvuta ndinga yenye thamni ya ngawira za kibongo milioni 15.

Katika mazungumzo mafupi aliyofanya na teentz.com via 4n sharo amesema makusnyo kutoka muvi alizocheza,shoo za muziki na mambo mengine kibao anayofanya ndivyo vimemuwezesha kuvuta mkoko huo na hajapata msaada kutoka kwa mapedeshee kama wasanii wengine wanavyofanya.

"Ni makusanyo tu kutoka ktk michongo yangu kama muvi,shoo za mziki wangu,ndivyo vimenipa hii ndinga.Sijaomba kwa pedeshee mim imtoto wa kiume bwana najituma.Alisema Sharo Milioneawww.teentz.com
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...