Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ahaj Dk.Ali
Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakiagana na Viongozi wa
Mikoa ya Pemba katika Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba,baada ya kumaliza Ziara ya kisiwani humo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akisalimiana na
Viongozi na wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba alipowasili katika viwanja
vya Skuli ya Mkanyageni Pemba katika chakula cha Futari aliyowaandalia
wananchi na waumini Kijiji cha Mkanyageni katika mwezi Mtukufu wa
Ramadhan jana.
Sheikh Yussuf Abdalla,wa Kijiji cha Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba
akitoa shukurani kwa niaba ya wananchi wa kijiji hicho kwa Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Moahmed Shein,kwa kuwaandalia Chakula cha Futari,iliyofanyika jana
katika Viwanja vya Skuli ya Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia)
akijumuika na wananchi wa Kijiji cha Mkanyageni Wilaya ya Mkoani,Mkoa wa
Kusini Pemba,katika chakula cha Futari,aliyowaandalia Wananchi hao
katika viwanja vya Skuli ya Mkanyageni
Baadhi ya akina mama wa Kijiji cha Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba
wakiwa katika chakula cha Futari katika Mwezi mtukufu wa
Ramadhan,iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika viwanja vya Skuli ya Mkanyageni Pemba
Baadhi ya Wananchi na waumini wa Dini
ya Kiislamu wa Kijiji cha Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba wakiwa katika
chakula cha Futari katika Mwezi mtukufu wa Ramadhan,iliyoandaliwa na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein,katika viwanja vya Skuli ya Mkanyageni Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kushoto)
akiagana na Wananchi wa Kijiji cha Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba jana
baada ya Chakula cha Futari aliyowaandalia katika viwanja vya Skuli ya Mkanyageni.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar
habari kwa hisani ya hakingowi.com