Sunday, June 9, 2013

Huku ndiko alikokuwa Diamond wakati tuzo za Music za Kilimanjaro zilipokua zinatolewa jana

 Kitendo cha Msanii Diamond Platinumz kutokuepo kwenye tukio la utoaji wa tuzo za music za kilimanjaro jana usiku kilishangaza mashabiki wengi wa msanii huyo kwakua hakua amesafairi na kuwaacha na maswali mengi..........................

Habari za uhakika ni kwamba Diamond Platinumz Ambae kwa sasa ni balozi wa CocaCola nchini jana wakati tuzo zinatolewa alikua katika ukumbia wa Akemi uliopo Golden Jubilee Plaza kwenye uzinduzi wa kinywaji kipya cha kampuni ya CocaCola knachoitwa NOVIDA............

Diamond pamoja na mtu wake wa karibu Rommy Jonnes waliweka picha kadhaa kwenye mtandao kuonyesha ushiriki wao katika tukio hilo........Zicheki hapa baadhi ya picha hizo Kwenye gari wakiwa wanaelekea kwenye event


 Diamond na Master J

Baada ya event kuisha kwenye lift wakiondoka

Picha kadhaa zimetoka Thisisdiamond.com
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...