Thursday, June 13, 2013

BREKING NEWS: Msanii wa Hip Hop LANGA amefariki dunia...

Mwezi huu umekuwa mbaya sana kwa Bongo FLeva na Bongo Movie ikiwa ni muda mfupi tu tumempoteza Ngwea na Kashi wa Bongo Movie

Habari ambazo nimepata hivi punde ni kwamba Msanii aliyekuwa katika kundi la Wakilisha na wasanii kama Shaa pamoja na Witness ambao walishinda katika mashindano ya Pop "LANGA" Amefariki dunia


Msanii Huyo Amefariki Dunia Leo Jioni katika hospital ya Muhimbili.
Langa aliyekuwa anasumbuliwa na Malaria kali na kukimbizwa hospitali jana
Hili ni Pigo lingine kubwa katika Mziki wa wa Bongo Flava.
Mungu ailaze roho ya Marehemu Langa Mahali Pema peponi.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...