Sunday, November 4, 2012

SAMSUNG WEEK 2012 TANZANIA @ GOLDEN TULIP DAY 2
Wasanii wakushake shake wakitoa burudani katika onyesho la samasung week

Baadhi ya wateja waliohudhuria katika maonyesho hayo wakiangalia show iliyokua inaendelea kwenye steji na wengine wakiwa wanapata maelekezo ya kina kuhusu bidhaa za samsung kutoka kwa wafanyakazi wa samsung

Meneja Mauzo na Usambazaji  wa Kampuni ya Samsung Ltd Tanzania Bw. Sylvester Manyara akimtpigia simu mmoja ya washindi ambao walijishindia bidhaa mbalimbali kutokana na kufanya manunuzi ya bidhaa mbalimbali za samsung

Burudani ikiendelea stejini

Masai akichanganya coupon za wateja mbalimbali ambao waliingia kwenye droo ya kujishindia zawadi kutoka samsung

Mr selyvester akimtangaza mshindi wa samsung Galaxy S II


LCD screen ambayo inaongozwa kwa kutumia ishara ya mkono kama anavofanya huyo mtoto kwenye picha hapo juu

Jana ndio ilikua kilele cha maonyesho ya week ya samsung yaliyokua yanafanyika kwenye hotel ya golden tulip.Maonyesho hayo yalimalizika kwa beach party ambayo ilifanyika Mbalamwezi beach

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...