Friday, November 2, 2012

SAMSUNG WEEK 2012 DAY 1(UFUNGUZI)

SAMSUNG WEEK NI MAONYESHO YA BIDHAA MBALIMBALI ZINAZOTENGENEZWA NA KAMPUNI YA SAMSUNG,SAMSUNG MOBILE TAWI LA TANZANIA IMEAMUA KUFANYA MAONYESHO HAYA ILI KUTAMBULISHA BIDHAA ZAO MPYA ZILIZOINGIA SOKONI HIVI KARIBUNI.LEO ILIKUA NDIO SIKU YA UFUNGUZI WA MAONYESHO HAYO YATAKAYOKUA YANAFANYIKA HOTELI YA GOLDEN TULIP KESHO KUANZIA SAA 3 KAMILI ASUBUHI.PIA BAADAN YA MAONYESHO HAYO JIONI SIKU HIYO HIYO YA JUMAMOSI KUTAKUA NA SAMSUNG BEACH PARTY ITAKAYOFANYIKA MBALAMWEZI BEACH
MR SELYVESTER AKITOA UFAFANAUZI KUHUSU BIDHAA MBALIMBALI ZITAKAZOONYESHWA KWENYE MAONYESHO HAYO
HII NI LAPTOP MINI ILIYOTENGENEZWA MAALUM KWA AJILI YA WATOTO.LAPTOP HII HATA IKIMWAGIWA MAJI KWENYE KEYBOARD YAKE HAIWEZI KUDHULIKAMMOJA KATI YA WAMILILI WA BLOG HII AKIWA NA MR.SYLEVESTER KUTOKA SAMSUNG TANZANIA
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...