Thursday, August 4, 2011

UTAJIRI BILA YA KAZI NI SAWA NA KUTWANGA MAJI KWENYE KINU.


Mama huyu anauza samaki ili ajipatie fedha zitazo kuza mtaji na kufikia kileleni kama walivyivyo wafanya biashara wengine. Hapo wapo kwenye hatua ya kukaangwa, Yupo wilayani Pangani mkoa wa Tanga.Kondaknta huyu wa hiace au kipanya kama yanvyo julikana magari madogo aina hiyo ya hiace akibeba mlago wa gari yake ulio choka wakati wapo safarini pembeni ni abiria wake aliyekuwa akimsaidia. Hiace hiyo inayofanya safari zake Tabata Kimanga kwenda Ubungo, maisha kupigana hata wamiliki wa vituo vya mafuta walianzia huko ingawa sasa wameweka mgomo na mafuta yao. "anaye tafuta hachoki, akichoka kapata"


Wajuaji wa mambo wanasema "fundi mkweli kinyozi" haya, sijui jamaa anataka panki au kiduku! lakini kwa kinyozi yeye anataka ku-make money.

0 comments:

Post a Comment

CHANGIA MAWAZO YAKO HAPA

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...