Kama ilivyokawaida ya wanatamaduni kila siku ya Jumamosi tunakutana pale New Msasani Club kuanzia saa 8 kamili mchana,na jana kama kawaida tulijumuika pamoja ila nadiriki kusema kua kilinge cha jana kilikua tofauti sana na vilinge vyote vilivyopita kwani kulikua na wasanii wakubwa sn wa hihop nchini ambao walikuja kutia baraka zao kilingeni sambamba na kubariki kinasa. Cheki picha hizi kadhaa na utaelewa ninamanisha nini ninaposema kilinge cha wiki hii kilikua tofauti
Maujanja Saplaya
Mkolono na Proffesor Jay
Nas Mc akiteta
Nikki Mbishi Akikusanya masimbi