Wednesday, February 6, 2013
Video Kutoka Chadema:KATIBU MKUU WA CHADEMA Dr Wilbrod Slaa AMESEMA:''CHADEMA KIMECHOSHWA NA UONEVU NA UKIUKWAJI MKUBWA WA KANUNI UNAOFANYWA NA KITI CHA SPIKA:AMESEMA HAKUNA MBUNGE YEYOTE CHADEMA ATAKAYEENDA KUHOJIWA NA KAMATI YA BUNGE MPAKA HAPO RUFAA ZOTE 10 ZA WABUNGE WA CHADEMA DHIDI YA KITI CHA SPIKA ZITAKAPOJIBIWA
Posted by
Feel At Home
at
Wednesday, February 06, 2013
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook