http://www.jisikienyumbani.blogspot.com/
Tajiri namba moja barani Afrika kwa mwaka huu 2011 ni Bilionea wa Nigeria.Kwa mujibu wa majarida na mitandao mbalimbali dunia inamtambau kama tajiri wa kwanza barani Afrika na anashika nafasi ya 51 kwa utajiri duniani.Bwana Aliko Dangote raia wa Nigeria mwenye miaka 53 aliyepanda ghafta baada ya kuongezeaka utajiri wake kwa zaidi ya asilimia 20 na kufikia Dola 13.8 bilioni za kimarekani tokea mwaka jana alikua anashika nafasi ya saba kwa mabilionea wa Afrika.Bilionea huyu anayemiliki kampuni kadha nchini kwao ambazo ni Dangote Cement,Dangote Flour kama za Azam.,Dangote Sugar na Real estate
Saturday, September 10, 2011
BILIONEA NAMBA MOJA AFRIKA BWANA ALIKO DANGOTE
Posted by
Feel At Home
at
Saturday, September 10, 2011
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook