Monday, May 2, 2011

Osama binladen ameuawa huko pakistan

Rais barack obama akiwaelezea wananchi wa marekani na dunia kwa ujumla juu ya kifo cha osama biladen
Rais wa marekani amethibitisha kifo cha kiongozi huyo wa al-qaeda akisema ameuawa kutokana na operation iliyofanywa na marekani huko pakistan.Obama alisema"Tonight, I can report to the people of the United States and the world, the United States had carried an operation that has killed Osama Bin Laden, a terrorist responsible for killing thousands of innocent people,"

1 comments:

Zubery said...

Naona wamarekani wamefurahi sasa hivi,ila ukilichunguza kwa undani hili swala kuna km ukundamizaji wa kidini hivi!Hivi magaidi ni watu wa aina gani?na wanafanya ugaidi kwa lengo gani au wadai haki gani?na kwa nini wanoitwa magaidi wote ni waislam?mi nadhani kuna haja ya kutafuta ukwli zaidi kabla htujasupport kitu.Mi sija furahishwa kusema kweli.

Post a Comment

CHANGIA MAWAZO YAKO HAPA

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...