Sunday, November 4, 2012

SAMSUNG WEEK 2012 TANZANIA @ GOLDEN TULIP DAY 2








Wasanii wakushake shake wakitoa burudani katika onyesho la samasung week

Baadhi ya wateja waliohudhuria katika maonyesho hayo wakiangalia show iliyokua inaendelea kwenye steji na wengine wakiwa wanapata maelekezo ya kina kuhusu bidhaa za samsung kutoka kwa wafanyakazi wa samsung

Meneja Mauzo na Usambazaji  wa Kampuni ya Samsung Ltd Tanzania Bw. Sylvester Manyara akimtpigia simu mmoja ya washindi ambao walijishindia bidhaa mbalimbali kutokana na kufanya manunuzi ya bidhaa mbalimbali za samsung

Burudani ikiendelea stejini









Masai akichanganya coupon za wateja mbalimbali ambao waliingia kwenye droo ya kujishindia zawadi kutoka samsung

Mr selyvester akimtangaza mshindi wa samsung Galaxy S II


LCD screen ambayo inaongozwa kwa kutumia ishara ya mkono kama anavofanya huyo mtoto kwenye picha hapo juu

Jana ndio ilikua kilele cha maonyesho ya week ya samsung yaliyokua yanafanyika kwenye hotel ya golden tulip.Maonyesho hayo yalimalizika kwa beach party ambayo ilifanyika Mbalamwezi beach





















































Friday, November 2, 2012

SAMSUNG WEEK 2012 DAY 1(UFUNGUZI)

SAMSUNG WEEK NI MAONYESHO YA BIDHAA MBALIMBALI ZINAZOTENGENEZWA NA KAMPUNI YA SAMSUNG,SAMSUNG MOBILE TAWI LA TANZANIA IMEAMUA KUFANYA MAONYESHO HAYA ILI KUTAMBULISHA BIDHAA ZAO MPYA ZILIZOINGIA SOKONI HIVI KARIBUNI.LEO ILIKUA NDIO SIKU YA UFUNGUZI WA MAONYESHO HAYO YATAKAYOKUA YANAFANYIKA HOTELI YA GOLDEN TULIP KESHO KUANZIA SAA 3 KAMILI ASUBUHI.PIA BAADAN YA MAONYESHO HAYO JIONI SIKU HIYO HIYO YA JUMAMOSI KUTAKUA NA SAMSUNG BEACH PARTY ITAKAYOFANYIKA MBALAMWEZI BEACH
MR SELYVESTER AKITOA UFAFANAUZI KUHUSU BIDHAA MBALIMBALI ZITAKAZOONYESHWA KWENYE MAONYESHO HAYO
HII NI LAPTOP MINI ILIYOTENGENEZWA MAALUM KWA AJILI YA WATOTO.LAPTOP HII HATA IKIMWAGIWA MAJI KWENYE KEYBOARD YAKE HAIWEZI KUDHULIKA











MMOJA KATI YA WAMILILI WA BLOG HII AKIWA NA MR.SYLEVESTER KUTOKA SAMSUNG TANZANIA
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...