Monday, February 4, 2013

CHEKI BAADHI YA PICHA ZA HARUSI YA KITALE HAPA

 
Msanii wa vichekesho na filamu za hapa Bongo maarufu kama Kitale jana ilikuwa siku ya furaha sana kwake, kwani ndio alifunga pingu za maisha na mkewe Bi. Fatma Salum maeneo ya Mwananyamala jijini Dar Es Salaam.
 
Tazama baadhi ya picha za kwenye Harusi hiyo...
 

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...