Wednesday, September 19, 2012

ANGALIA JINSI WASANII WA BONGO MOVIE WANAVYOJISHUSHA THAMANI


Baada ya Ant Ezekiel  kuto kuonyesha heshima katika jukwaa la serengeti fiesta sasa habari nyingine ambayo imetokea mkoani Morogoro siku ya serengeti fiesta  katika viwanja vya jamhuri.Msanii anayejulikama kwa jina la Wema sepetu alionekana amefaa nguo fupi ambayo sio ya heshima na hiki si kitu kizuri kwa mashabiki au hata mtanzania.Kwani hapo ndipo unajishusha thamani pia hata mashabiki wako hawata nunua kazi zako.Jamani tujiheshimu ili mwisho wa siku jina lako lipate kufika mbali lakni kama ni hivi sijui kama tutafikia. 

Habari na djfetty.blogspot.com
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...