Saturday, September 10, 2011

NI MSIBA WA KITAIFA MELI YA ZAMA ZANZIBAR.


Meli ya Spice iliyotoka kisiwani unguja kuelekea pemba katika bahari ya hindi imezama katika mkondo wa nungwi .Tukio hili limetokea usiku wa kuamkia leo.Inakadiriwa zaidi ya watu 610 mpaka 1000 walikuwamo katika meli hiyo kama abiria wakielekea pemba.Mamia ya watanzania wakiuzunika bara na visiwani Zanzibar kwa kuwapoteza ndugu,jamaa na marafiki zao katika tukio hili.Uko Zanzibar wananchi wengi wakiwa katika uzuni na harakati za kuwaokoa majerui zikiendelea kwani bahadhi ya majerui wameokolewa japo sio wengi lakini zoezi la uokoaji linaendelea.

0 comments:

Post a Comment

CHANGIA MAWAZO YAKO HAPA

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...