Wednesday, July 13, 2011

ROSTAM AZIZ HAACHA UBUNGE WA IGUNGA-TABORA NA UJUMBE WA HALMASHAURI KUUYA TAIFA (CCM)


 Mbunge wa  Igunga mkoani Tabora kupitia ccm ameajiudhuru nafasi zote za kisiasa kubwa alizokuanazo mwazoni.Mbunge huyo wa ccm ameitisha mkutano leo jimboni kwake nakuanza kuwaelezea maamuzi mazito aliyokuwanayo,ata hivyo amesema uwamuzi wake autokani na kauli ya hivi kalibuni ya chama chake ya 'Kujivua gambamba' bali ni utashu wake binafsi na kuamua kuendelea na biashara zake.Ata hivyo amakua akiusishwa sana na ufisadi kwa kiasi kikubwa.

0 comments:

Post a Comment

CHANGIA MAWAZO YAKO HAPA

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...